TAZAMA HAPA CHINI UJUMBE HUU KWA KISWAHILI / SEE BELOW FOR THIS MESSAGE IN SWAHILI
Mombasa, located on Kenya’s eastern coastline, is the country’s second-largest city. A prosperous place with a fascinating and culturally diverse history, it is home to some of the world’s most beautiful beaches and within easy striking distance of superb nature, wildlife and marine parks.
Mombasa is the motor and heart of Kenya’s coastal tourism industry, powered by its white-sand shoreline and the blue waters of the Indian Ocean that draw in beachgoers and water-sports enthusiasts from around the world. Access to the stunning waterside is made easy from a wide selection of Mombasa hotels and resorts, many of which offer leisure and adventure activities, while Mombasa’s traditions and history are best explored on Mombasa tours that include a half-day guided visit through the city’s maze of narrow streets or a chance to learn traditional tribal dances at the Ngomongo Villages.
whl.travel’s launch of www.mombasahotels-tours.com now connects travellers with local destination experts Serah Njoroge and the team of Eastern & Southern Safaris Ltd, trading in Mombasa as Mombasa Hotels & Tours. Let Serah and her team bring Mombasa to life, especially through projects in and around town that can help you get involved and really experience Mombasa’s unique combination of cultural diversity, outdoor activities and pristine nature.
On behalf of Eastern & Southern Safaris Ltd, Serah says “Joining the whl.travel family is exciting and humbling. We firmly believe in the importance of preserving Kenya’s diverse natural environment and habitats and are looking forward to participating fully with a network that shares our values.”
Mombasa is whl.travel’s second travel portal in Kenya after Nairobi; and the latest in eastern Africa, with other partners in four destinations in Madagascar, one each in Mauritius, Rodrigues and the Seychelles, and two in Zambia.
———-
Mombasa, iliyo katika mashariki ya utepe wa pwani ya Kenya ni mji wa pili mkuu nchini, ni mji ulio stawi na ulio na kivutio kikubwa katika utamaduni na ustaarabu wa kihistoria. Pia ni mji ambao fuo zake ni za kuvutia, hua rahisi sana kuweza kufikia sehemu zenye mandhari ya kuvutia na wanyama mwitu, na pia sehemu za pwani.
Mombasa ni kitovu cha utalii katika veli ya kenya, umepambika kwa fuo zake safi na maji ya rangi samawati na hivyo kuwa ni kivutio cha wanamichezo wa maji, kote ulimwenguni. Ufikilizi katika sehemu hizi umerahisishwa kutokana na hoteli nyingi kwenye fuo zake nyingi katika hoteli hizo zinatoa huduma za starehe na ziara katika mbuga za wanyama. Pia vilevile katika mji wa Mombasa unweza kuzuru sehemu za kale na za kihistoria. Huduma hii inapatikana katika Mombasa tours na hata unaweza kufanya ziara ya nusu siku. Pia utaweza kutembea katika vitongoji vya mji huu na utapata fursa ya kujifunza utamaduni na nyimbo za kabila tofauti za humu nchini katika Vijiji vya Ngomongo.
Uzinduzi wa whl.travel wa www.mombasahotels-tours.com sasa unajumuisha wasafiri na wataalamu wa sehemu hizi wakiwa ni Serah Njoroge na kikundi chake kutoka Eastern & Southern Safaris Ltd wanaofanya biashara mjini Mombasa kwa jina Mombasa Hotels & Tours. Mpe fursa Bi Serah na kikundi chake ili waweze kukufunza na kukuelimisha Kuhusu Mji wa Mombasa, hasa katika miradi ndani na nje ya mji huu, pia utapata fursa ya kujihusisha katika kupata ujuzi wa kipekee unaojumuisha annuai za utamaduni katika sehemu mbalimbali za mji wa Mombasa.
Kwa niaba ya Eastern & Southern Safaris Ltd, Serah asema “Kujiunga na familia ya whl.travel ni msisimko na unyeyekevyu, na tuna imani thabiti kuhuzu umuhimu na utunzaji wa annuai mbalimbali za mazingira ya nchi ya Kenya na makaazi. Pia tunajihusisha kikamilifu na mtandao ambao una ushirikiano na maadili yetu”.
Mombasa ni mlango wa pili nchini Kenya wa whl.travel katika ujuzi wa usafiri baada ya Nairobi na ni ya tatu katika Afrika Mashariki ambayo pia inajumuisha Zanzibar, Tanzania na niya kumi na mbili katika Afrika mashariki, pamoja na wanadao wengine katika sehemu nne zikiwa ni Madagascar na moja katika nchi ya Mauritius, Rodrigues, na pia Seychelles na mbili nchini Zambia.















I think its great that whl.travel has added Mombasa, Kenya to connect travellers with a local expert on Mombasa. Some of the best holidays I’ve enjoyed with my family were on the Kenyan Coast. My favourite Mombasa hotels include Serena Beach Hotel, Whitesands Hotel (North Coast) and Indian Ocean Beach Club (South Coast). I miss the madafus and friendly Kenyan people.
kujifunza mengi