Quantcast

whl.travel Welcomes Dar es Salaam, Tanzania, to Its Coverage in Africa

 • whl.travel
 • 3 March 2010

TAZAMA HAPA CHINI UJUMBE HUU KWA KISWAHILI / SEE BELOW FOR THIS MESSAGE IN SWAHILI

Adoringly known as ‘Dar’ by enthusiasts, Dar es Salaam, the former capital but still premier city of Tanzania, borders the warm Indian Ocean. Once a small, Swahili fishing village located in the centre of the East African coastline, Dar now leads Tanzanian access to one of the world’s most important sea routes.

A fisherman floats on the warm Indian Ocean near Mafia Island along Tanzania’s southern coast

Meaning ‘haven of peace’ in Arabic, Dar is a diverse and bustling port with a myriad of things to see and do. Many travellers mistakenly overlook Dar, thinking of it as no more than a quick stopover before heading to destinations deemed more exotic, such as Zanzibar, Mafia Island or the animal-rich lands of the interior country. This is a shame, as Dar has its own special dynamism and there are numerous attractions well worth a visit.

Taking in the sights, smells and sounds of the city on a stroll to the Kariakoo Market or Kivukoni Front’s fish market is an excellent way to revel in the colours and flavours of the city. Eating freshly caught fish at the waterfront and visiting Dar’s peaceful botanical gardens are also exceptional ways to spend an afternoon. Vestiges of the city’s German and English 19th-century history remain visible in the beautiful colonial architecture and landmarks, which include St. Joseph’s Cathedral, the Old State House and the Askari Monument, commemorating the fallen African soldiers of World War I with an inscription written by Rudyard Kipling. These attractions can be discovered as part of a Dar es Salaam city tour or at your own leisure.

There are many other exciting activities to experience on a Tanzanian holiday. Once in Dar, gorgeous white beaches and national parks are almost literally at your fingertips. Historic Zanzibar is a mere 45 km out to sea and easily reachable by regular boat service, while south of the city are pristine, secluded stretches of coast and incredible Mafia Island hotels. Further afield, in southern Tanzania is the World Heritage-listed Selous Game Reserve, Africa’s largest protected game reserve, where a Selous Safari will put you in the midst of Africa in her natural beauty. The Mikumi and Udzungwa Mountain national parks also boast exceptional wildlife, best appreciated on a game drive. These and other Dar es Salaam tours all make for incredible excursions.

www.tanzania-tours.com now links travellers directly with Ayaz and Nurez Bandali and the local team from Waterbuck Safaris. Speaking on behalf of the team, Ayaz Bandali says, “We are delighted to come aboard and work with whl.travel. It’s an electrifying project and as per the market trend, which is moving towards online shopping, we believe we are on the right track. Tourism permits us to meet diverse people from various parts of the world encompassing assorted backgrounds, rituals and customs. It is bringing people from poles apart to mingle and blend that allow us to grow and foster an appreciation for nature, a gift to mankind.”

Dar es Salaam is the gateway to Tanzania, as well as other captivating African destinations like Kenya, Madagascar and South Africa.

———-

KWA KISWAHILI / IN SWAHILI:

Dar es salaam makao makuu ya zamani lakini bado ni mji mkuu watanzania, umepakana na bahari ya hindi. Zamani ilikua kijiji kidogo cha uvuvi kilichopo katikati ya pwani ya Afrika mashariki, Dar sasa inaongoza Tanzania kuwa moja ya misafara muhimu ya baharini.

A Crocodile on the Rufiji River in Selous Game Reserve near Dar es Salaam, Tanzania

A Crocodile on the Rufiji River in Selous Game Reserve near Dar es Salaam

Maana yake ni pepo yenye amani kwa kiarabu, Dar ina vitumbalimbali vyakuona nakufanya ikiwa nipamoja na bandari, Wageni wengi huuchukulia miji wa dar kwamtazamo tofauti, wakiddhani kwamba ni sehemu ya fika na kuondoka kabla hawajapewa maelezo yakiundani kama vile Zanziba, kisiwa cha mafia au utajiri wa wanyama pori waliopo ndani ya aridhi ya Tanzania. Dar kuna vivutio vingi ambavyo vipo na vinaweza kukuvutia kutembelea.

Katika mizunguko ya mji kuna kelele sehemu kama soko la kariakoo, na harufu kwenye soko la samaki kivukoni ni njia nzuri yakujionea rangi na vionjo vya mji. Kula samaki walio vuliwa kwenye bahari ya hindi na utatembelea bustani yenye amani ambapo muda mzuri wakutembelea ni mchana.

Mitazamo ya miji ya Kijerumani na Kingereza katika karine ya 19 ,histroria inabaki kuonekana katika majengo na alama za kikoloni, kama vile kanisa la katoliki la st Joseph,Ofisi ya raisi na sanamu ya askari ambayo ni kumbukumbu ya askari wa afrika walio shiriki katika vita kuu ya kwanza ya dunia na kupoteza uhai wao vitani ,sanamu hii ili wekwa na Rudyard Kipling. Vitu hivi viligunduliwa kama vivutio vya mji wa dar.

Kuna vitu vingi vyakuona na kuvijua unapokua mapumzikoni Tanzania. Unapo kua Dar, kuna fukwe nzuri na mbuga za wanyama ambazo utazipata au uta chagua kwa kutumia mtandao. Mji wa kihistoria wa Zanziba ambao upo 45 km kutoka usawa wa bahari na unaweza kufika kirahisi kwa kutumia usafiri wa kawaida wa meli uwapo upande wa kusini wa mji kuna mazingira halisi na ufukwe ulio tengwa kwa mshangao na kisiwa cha mafia na hoteli.Vilevile kusini mwa Tanzania kuna pori la akiba la Selous ambalo ndio la kwanza kwa ukubwa Afrika ambapo unaweza kufanya Safari mbali mbali, tembelea Tanzania ujionee uzuri wa asili. Mikumi na milima ya Udizungwa ni hifadhi za taifa ambazo unaweza kuzunguka na gari ndani nakujione wanyama vizuri .Vivutio hivi pamoja na vinginevyo ndani na karibu na Dar es salaam vitaifanya safari yako kuwa yenye furaha.

Kutumia www.tanzania-tours.com, unaweza kuwasiliana na Ayaz Bandali au Nurez Bandali na wafanyakazi wa Waterbuck Safaris Ltd. Naongea kwaniaba ya Waterbuck safaris, Ayaz Bandali anasema: “Tunafuraha kuwa pamoja na kufanya kazi na whl.travel. Nimradi ambao upo katika mtandao wakibiashara, tuna amini tuko katika njia sahihi. Utalii unatuambia tukutane na watu aina tofauti kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao wataweza kutujulisha mila na desturi zao. Inaleta watu pamoja naitatu saidia kukua ki biasha kwa haraka zaidi”.

Dar es salaam ni njia yakuijua Tanzania, vilevile kujua sehemu nyingine za Afrika kama Kenya, Madagaska na Afrika ya kusini.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Spread The Word:
 • Print
 • Digg
 • StumbleUpon
 • del.icio.us
 • Facebook
 • Yahoo! Buzz
 • Twitter
 • Google Bookmarks
 • email
 • LinkedIn
 • Posterous
 • Reddit

Africa, architecture & landmarks, cities, food & drink, game reserves, markets, mountains, new local connections, Tanzania, WHL Group news, world heritage,

Leave a Reply